KLABU
ya Manchester City itamenyana na Arsenal katika Robo Fainali ya Kombe
la FA wakati Chelsea itamenyana na Liverpool siku kadhaa kabla ya
kumenyana na vigogo wa Ulaya, Barcelona na Bayern Munich katika Ligi ya
Mabingwa.

Mara
ya mwisho: Bao la dakika za mwishoni la Fernando Torres liliipa Chelsea
ushindi wa 2-1 dhidi ya Manchester City katika mchezo wa Ligi Kuu
England msimu uliopita

Unakumbuka? Aaron Ramsey alifunga katika ushindi wa Arsenal wa 2-0 dhidi ya Liverpool mapema msimu huu
Post a Comment