KIUNGO
wa Arsenal, Emmanuel Frimpong amesaini klabu ya Daraja la Kwanza
Barnsley from Arsenal kwa ada ya uhamisho ambayo haikutajwa.
Baada
ya kusaini timu hiyo, kinda huyo akatweet: "How am I gonna draw girls
now" akimaanisha atakuwa na wakati mgumu mno kuwavutia mademu - ingawa
baada ya muda mfupi tu akafuta.
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 22 amesaini kupiga kazi Oakwell hadi Juni 2014.
Post a Comment