Astres Douala ya Cameroon kwa jumla ya mabao 4-1.
Baada ya sare ya 1-1 katika mchezo wa kwanza mjini Douala wiki iliyopita, Mazembe inayojivunia washambuliaji wawili Watanzania Mbwana Samatta na Thomas Ulimwengu leo imeshinda 3-0 nyumbani Lubumbashi.
![]() |
Mbwana Samatta ataendelea kufanya vitu Ligi ya Mabingwa baada ya Mazembe kusonga mbele leo |
Shukrani kwao wafungaji wa mabao hayo, Said Coulibaly dakika ya 31, Jonathan Bolingi dakika ya 38 na Given Singuluma dakika ya 50.
Post a Comment